Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Lengo la sita la maendeleo ya milenia laangaziwa

Lengo la sita la maendeleo ya milenia laangaziwa

Lengo la sita la malengo ya milenia ni kukabiliana na magonjwa ukiwemo Hiv/ Ukimwi Huko Tanzania kumezinduliwa kampeni ya kupimwa kwa hiari basi ungana na Enes Mwaisakila kutoka radio washirika Jogoo Fm, kutoka RuvumaTanzania kujua hali ilivyo.

 (Makala ya Enes Mwaisakila)