Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran

Ban akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Javad Zarif.

Bwana Ban amekaribisha ujumbe ulotolewa na Iran kwa ujumla katika siku chache zilizopita, na kumpa waziri huyo maelezo kuhusu kutumwa kwa ujumbe wa pamoja ya Umoja wa Mataifa na Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali nchini Syria kuhusu suala la sialaha za kemikali.

Ametoa wito kwa pande zote nchini Syria kuhudhuria kongamano la kimataifa la amani mjini Geneva, huku zikiyakubali makubaliano ya tarehe 30 Juni mwaka 2012 kama msingi wa kongamano hilo. Amesisitiza umuhimu wa kuwepo ujumbe uloungana wa kuuwakilisha upinzani. Katibu Mkuu na waziri huyo pia wamejadili suala la nyuklia.