Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sekta ya mifugo yaweza kupunguza uzalishaji wa gesi chafuzi: FAO

Sekta ya mifugo yaweza kupunguza uzalishaji wa gesi chafuzi: FAO

Shirika la chakula na kilimo duniani, FAO linasema kuwa kiwango cha utoaji wa gesi joto na zile chafuzi katika sekta ya mifugo kinaweza kupunguzwa kwa asiilmia 30 iwapo wafugaji watatumia njia bora za ufugaji kuanzia utafutaji wa malisho hadi matumizi ya mboji. Hiyo ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya FAO kama anavyoripoti George Njogopa.

(Taarifa ya George Njogopa)

Ripoti hiyo yenye kichwa cha habari kisemacho kukabili mabadiliko ya tabia nchini kupitia mifugo, imesema matumizi ya teknolojia sahihi kwa ajili ya kuwalisha, kuwatunza mifugo kunaweza kusaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza hali joto ya dunia. Ripoti hiyo ambayo pia imeangazia Mkataba.