Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Rais Museveni azungumzia ICC na shambulizi la Nairobi

Rais Museveni azungumzia ICC na shambulizi la Nairobi

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC, imefanya kosa kubwa kwa kupuuza maoni ya viongozi wa Afrika katika azimio walilopitisha kuhusu kesi inayomhusu rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake, Willian Ruto, akiongeza kuwa bara la Afrika ni la watu wa Afrika.

Katika mahojiano na Redio ya Umoja wa Mataifa, kiongozi huyo wa Uganda pia amezungumzia juhudi za kutimiza malengo ya milenia, ugaidi na migogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.