Wakenya watoa maoni yao kuhusu mkutano wa baraza la UM

24 Septemba 2013

Wakati mkutano wa 68 wa baza kuu la Umoja wa Mataifa ukishika kasi mjiniNew Yorkwananchi wa Kenyawametoa maoniyaokuhusu nini wangependa kijadiliwe katika mkutano huo.

Utatuzi wa migogoro, ajira na mengineyo ni miongoni mwa maoniyao. Ungana na Joseph Msami