Uganda yawa chonjo kuimarisha ulinzi

23 Septemba 2013

Tukio la Kenya limezua hofu katika nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Uganda kama anavyoripoti John Kibego wa radio washirika ya Spice FM kutokaUganda.

(Taarifa ya John Kibego)

Hofu imetanda kuwa huenda walioshanbulia jengo la WSestgate mjini Niarobi wakageukiaUganda. Vicent Senyunja raia wa kawaida anaeleza kwa nini anaogopa.

Mkaguzi Mku wa Polisi Gen. Kale Kayihura amesema Uganda ina kila sababu ya kuwa chonjo bada ya jirani Kenya Kushambuliwa vibaya. Polisi na  wanajeshi wamaonekana kwenye sehemu mbali mbali za mijumuiko na ofisi muhimukamaile ya Waziri mku.

Ugandani nchi eneye idadi kubwa zaidi ya walinda amaani chini ya mungano wa Afrika – AMISON wanaoisaidia Serikali yaSomaliakupambana na Wanamgambo wa Alshabab.  Watu 74 waliuwauwa na washambuliaji wa kujitolea mwezi July 2010 na wanmgambo wa Al-shabab walidai kuhusika.