Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Uganda

Ban akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Uganda

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uganda Amama Mbabazi ambapo viongozi hao wamezungumzia utekelezaji wa mkataba wa amani, usalama na ushirikiano kwa ajili ya Jamhuri ya Kidemokarsia ya kongo, DRC na ukanda wa maziwa makuu.

Katika mazungumzo hayo Bwana Ban ameelezea kuridhishwa kwake na hatua ya serikali ya Uganda kusaidia katika juhudi za kuimarisha amani nchi Somalia