Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yaendelea kuwasaidia wananchi wa Jonglei Sudan Kusini:

IOM yaendelea kuwasaidia wananchi wa Jonglei Sudan Kusini:

Shirika la Kiamataifa la uhamaijai IOM linazidi kupeleka misaada Sudan Kusini katika jimbo la Jonglei kufuatioa migogoro ya wwneyewe kwa wwenyewe iliyoathiri watu wa eneohilokwa muda mrefu. Jumbe Omari Jumbe ni msemaji wa IOM .

 (SAUTI YA JUMBE OMARI JUMBE)