Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Licha ya changamoto walinzi wa amani wa UM waendesha doria Sudan Kusini

Licha ya changamoto walinzi wa amani wa UM waendesha doria Sudan Kusini

Jimbo la Jonglei Sudan Kusini ni baadhi ya maeneo yenye changamoto zaidi kwa walinda amani kupiga doria, huku ukosefu wa usalama na hivi karibuni mvua ikiwa ni baadhi ya vikwazo basi ungana na Joseph Msami katika ripoti hii.

(RIPOTI YA JOSEPH MSAMI)