Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yafanya semina ya uhamiaji Beijing:

IOM yafanya semina ya uhamiaji Beijing:

Hali ya wahamiaji kutoka Uchina kwenda barani Ulaya na kutoka Ulaya kwenda Uchini inaongezeka katika miaka ya karibuni, kukiwa na watalii wengi, wanafunzi na wafanyabiashara kutoka Uchina wanaonda mataifa ya Ulaya. Na wakati huohuo China inaendelea kuwa kivutio kwa watu kutoka Ulaya. Suala hili ni moja ya ajenda zinazojadiliwa wiki hii mjini Beijing katika semina ya wahamiaji baina ya Muungano wa Ulaya na Uchina iliyoandaliwa na IOM Jumbe Omari Jumbe ni afisa wa IOM.