Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtoto wa siku tatu ni baadhi ya wakimbizi wa Syria walioko nchini Iraq

Mtoto wa siku tatu ni baadhi ya wakimbizi wa Syria walioko nchini Iraq

Idadi ya wakimbizi wa Syria imepita millioni mbili wiki hii. Huku wakimbizi hawa wakilazimika kuhama na kuenda nchi jirani. Moja ya nchi wanakokimbilia niIraq.

MMoja wa wakimbizi hao ni Peroz ambaye alikimbila nchi ya Iraq na mwanawe wa siku tatu pamoja na familia yake, Basi ungana na Joseph Msami ambaye anaelelzea hali ilivyo kwa mama huyu na mwanawe