Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mapigano yawaathiri raia wa Nigeria, wakimbilia Niger.

Mapigano yawaathiri raia wa Nigeria, wakimbilia Niger.

Mapigano kati ya kundi la waasi wenye silaha la Boko haramu dhidi ya vikosi vya jeshi la serikali ya Nigeria yanazidi kusababisha madhila kwa raia wa Nigeria ambao wamejikuta ni wakimbizi katika nchi jiraniya Niger. Ungana na Joseph Msami katika makala hii inayofafanua namna wakimbizi hao wanavyohaha kutafuta hifadhi huku wakipoteza ndugu na jamaa.