Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Raia wa Burundi watoa maoni kuhusu siku ya kupinga majaribio ya nyuklia

Raia wa Burundi watoa maoni kuhusu siku ya kupinga majaribio ya nyuklia

Ikiwa leo Agosti 29 ni siku ya kuadhimisha siku ya kupinga majaribio ya nyuklia ambayo ni maadhimisho ya nne ya kila mwaka, mwandishi wetu wa Maziwa Makuu Ramadhan Kibuga amezungumza na baadhi ya wananchi wa Burundi kuhusu hisia zao, swala la upingaji wa majaribio ya nyuklia. Wananchi walisema nini? Haya ndio maoni yao

(SAUTI ZA WANANCHI)