Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban akutana na kuzungumza na waziri wa mambo ya nje wa Urusi.

Ban akutana na kuzungumza na waziri wa mambo ya nje wa Urusi.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon akiwa ziarani nchini Uholanzi amekutana na waziri wa mambo ya nje wa Urusi Gennadiy Gatilov ambapo Bwana Ban amemueleza kiongozi huyo kuhusu kazi ya timu ya kuchunguza tuhuma za matumizi ya silaha za kemikali katika mgogoro unaoendeleaSyria.

Pia viongozi hao wamejadili juhudi za kufanyika kwa mkutano wa kutatua mzozo wa Syria mkutano unaotarajiwa kufanyika Geneva.