Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM wataka machafuko mapya DR Congo yakomeshwe:

UM wataka machafuko mapya DR Congo yakomeshwe:

Huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwishoni mwa wiki kulizuka machafuko mapya kwenye eneo la Goma Mashariki mwa nchi hiyo na mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa katika eneo la maziwa makuu Bi Mary Robinson kutoa kauli ya kutaka machafuko hayo yakomeshwe mara moja.

Je hali ikoje kwa sasa? Mwandishi wa kujitolea Mseke Dide anaeleza

(SAUTI YA MSEKE DIDE