Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yaendeleza mafunzo kwa wakimbizi wa Rwanda

IOM yaendeleza mafunzo kwa wakimbizi wa Rwanda

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM linaanza awamu ya tatu ya mafunzo ya wakimbizi wa Rwanda ambao walikimbia nchi hiyo kwa nyakati tofauti wakati wa machafuko. Mafunzo hayo ya stadi za kazi yanalenga kuwawezesha wakimbizi wanaorejea makwao kujikimu kimaisha kama anavyofafanua msemaji wa IOM Jumbe Omari Jumbe

(SAUTI JUMBE)