Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF na washirika kukwamua wananchi Namibia

UNICEF na washirika kukwamua wananchi Namibia

Kwa muda mrefu nchi ya Namibiailiyoko katika jangwa la Kalahari imekumbwa na ukame unaosababisha madhara kwa raia ikiwamo njaa. Lakini habari njema ni kwamba shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto , UNICEF na washirika wengine yanasaidia juhudi za kuwakwamua wananchi wanaoteseka. Ungana na Joseph Msami katika ripoti ifuatayo.