Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yahaha kuepusha udumavu na utapiamlo miongoni mwa watoto Nigeria

UNICEF yahaha kuepusha udumavu na utapiamlo miongoni mwa watoto Nigeria

Takribani asilimia 36 ya watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano nchiniNigeriawana utapiamlo uliokithiri au wamedumaa. Ijapokuwa wakina mama wamekuwa wakihamasishwa kunyonyesha watoto waokamanjia mojawapo ya kukabiliana na lishe duni, hali ya afya ya mtoto inadorora tu punde akiacha kunyonya na kuanza kupatiwa mlo wa nyongeza. Kulikoni? Ungana na Assumpta Massoi kwenye ripoti hii.