Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

“Hibakusha” akumbuka shambulio la Nagasaki mwaka 1945

“Hibakusha” akumbuka shambulio la Nagasaki mwaka 1945

Mwezi huu wa Agosti ni miaka Sitini na Minane tangu ndege za kimareknai zilipoangusha mabomu ya atomiki kwenye ardhi ya Japani hukoNagasakinaHiroshima. Maelfu waliuawa na maelfu walijeruhiwa huku idadi ya vifo ikiongezeka kila mwaka kutokana na madhara ya minunurisho ya nyuklia kwa manusura. Ripoti hii fupi ya Assumpta Massoi inakuletea kumbukumbu ya manusura au Hibakusha kwa kijapani.