Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yapania kutokomeza ukatili wa ngono Mali

UNICEF yapania kutokomeza ukatili wa ngono Mali

Taifa la Mali limekuwa katika mzozo wa kisiasa muda mrefu ambapo mapigano kati ya waasi na vikosi vya serikali yamesababisha mateso kwa wananchi wa taifa hilo . Makala ifuatayo inaangazia moja ya kadhia ya ukatili wa kingono kwa wasichana nchini humo, jambo lililosukuma Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto , UNICEF na washirika kuhakikisha unatokomezwa.  Ungana na Joseph Msami.