Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Rafiki bora ni yule asiyeangalia maslahi yake pekee:Vijana Tanzania

Rafiki bora ni yule asiyeangalia maslahi yake pekee:Vijana Tanzania

Leo ni siku ya urafiki duniani ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ni siku muhimu kwani urafiki baina ya nchi na nchi waweze kuepusha migogoro duniani. Mwenzetu George Njogopa kutoka Dar es salaam, Tanzania amefanya majadiliano na vijana watatu kuweza kufahamu mtazamo wao kuhusu siku hii. Ungana naye katika ripoti hii.