Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kambi ya Za’atari yazidi kukumbwa na changamoto:UNICEF

Kambi ya Za’atari yazidi kukumbwa na changamoto:UNICEF

Hii leo ni mwaka mmoja tangu kufunguliwa kwa kambi ya Za’atari nchini Jordan inayohifadhi wakimbizi wa Syria, ikiwa na wakimbizi Laki Moja na Ishirini, huku zaidi ya nusu wakiwa ni watoto. Marc Vergara afisa uhusiano kutoka UNICEF anazungumzia hali ilivyo kwenye kambi hiyo ambayo sasa ni ya pili kwa ukubwa duniani. (SAUTI YA MARC)