Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Syria yakubaliana na UM kuhusu kuendesha uchunguzi wa silaha za kemikali

Syria yakubaliana na UM kuhusu kuendesha uchunguzi wa silaha za kemikali

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Mwakilishi Mkuu wa masuala ya kupokonya silaha katika Umoja wa Mataifa, Angela Kane na Mkuu wa tume ya Umoja wa Mataifa ya uchunguzi katika madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria Åke Sellström, wamekamilisha ziara ya siku mbili nchini humo.

Wawakilishi hao wa Umoja wa Mataifa wamekuwa katika mji mkuu, Damascus mnamo Julai 24 na 25 wiki hii kufuatia mwaliko wa serikali ya Syria, na kukutana na Naibu Waziri Mkuu, na Waziri wa Mambo ya Nje na kujadili majukumu ya ujumbe huo.

Taarifa ya pamoja ilotolewa na serikali ya Syria na Umoja wa Mataifa kufuatia mazungumzo hayo inasema mazungumzo yalikuwa ya kina na yenye kuzaa matunda, na kwamba makubaliano yamefikiwa kuhusu nini kifanyike baadaye.