Licha ya shambulio kamwe hatutarudi nyuma: Rais Kikwete

22 Julai 2013

Nchini Tanzania hii leo imefanyika shughuli ya kitaifa ya kuaga miili ya askari saba wa kitanzania waliouawa kwenye shambulio huko Darfur nchini Sudan tarehe 13 mwezi huu. Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete aliongoza mamia ya waombolezaji kwenye shughuli hiyo iliyofanyika jijini Dar Es salaam huku akiwasihi walinda amani wa Tanzania kamwe wasirudi nyuma na wakati huo huo akitoa rambirambi kwa familia za wafiwa.

(SAUTI YA Rais KIKWETE)

Ripoti kamili kuhusu shughuli hiyo itapatikana kwenye ukurasa wetu.