Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mandela amwagiwa sifa na viongozi Afrika

Mandela amwagiwa sifa na viongozi Afrika

Katika kuadhimisha Siku hii ya Kimataifa ya Mandela, viongozi mbali mbali wa zamani kutoka Afrika wamekuwa wakielezea sifa za Mandela wakikumbuka mchango wake katika maisha ya mwanadamu. Miongoni mwao ni Rais mstaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi(CLIP MWINYI)

Mwingine aliyemtolea Nelson Mandela sifa kem kem ni Dk. Salim Ahmed Salim, ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Muungano wa nchi za Afrika, OAU.

(DKT SALIM CLIP)

Na je, wananchi wanasema nini kumhusu Mandela kwenye siku hii muhimu? Haya ni maoni ya baadhi ya wananchi wa nchi za Afrika Mashariki

(SAUTI ZA WATU MBALI MBALI)