Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Msajili wa ICC aeleza kwa nini wameshindwa kumkamata Rais Bashir wa Sudan:

Msajili wa ICC aeleza kwa nini wameshindwa kumkamata Rais Bashir wa Sudan:

Msajili wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ya ICC iliyoko The Hague nchini Uholanzi ametababaisha tofauti ya utendaji kati yake na mwendesha mashitaka mkuu wa mahakama hiyo.

Bwana Herman Von Hebel akizungumza na Radio ya Umoja wa Mataifa amefafanua masuala kadhaa ikiwemo suala la kushindwa kumkamata Rais wa Sudan Al-Bashir

(SAUTI YA HERMAN HEBEL)

Na kuhusu madai kwamba mahakama hiyo inawalenga viongozi wa Afrika bwana Herman Von Hebel amejibu

(CLIP YA HERMAN VON HEBEL)