Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza la Usalama lajadili Lebanon na hali Afrika Magharibi

Baraza la Usalama lajadili Lebanon na hali Afrika Magharibi

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limeyataka makundi yanayozozana nchini Syria kuheshimu sera ya taifa la Lebanon ya kutotaka kuhusika kwa vyovyote vile katika mzozo huo. Baraza hilo pia limepokea ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu hali Afrika Magharibi. Joshua Mmali ana maelezo zaidi

(RIPOTI YA JOSHUA MMALI)