Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkuu wa UNHCR yu ziarani nchini Kenya:

Mkuu wa UNHCR yu ziarani nchini Kenya:

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa matifa la wakimbizi UNHCR Antonio Guterres yuko nchini Kenya ambapo pamoja na mambo mengine amefanya mazungumzo na maafisa wa serikali ya nchi hiyo kuhusu namna ya kuwezesha kuwarejesha makwao kwa hiari wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kufuatia kile alichosema kuimarika kwa amani nchini Somalia.Emanuel Nyabera ni msemajiwa UNHCR nchini Kenya (SAUTI YA NYABERA)