Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF na washirika kutokomeza utapiamplo Burundi

UNICEF na washirika kutokomeza utapiamplo Burundi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kwa kushirikina an serikali ya Burundi na washirika wengine wa afya wanajitahidi kupambana na utapiamlo sugu na unyafunzi nchini Burundi.

Ungana na Joseph Msami katika makala inayoelezea namna juhudi hizo zinazotiwa shime na UNICEF ,zinavyochukua kasi, katika taifa hilo lililowahi kukumbwa na mapigano miaka ya hivi karibuni.