Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza la Usalama laangazia ukatili wa kingono kwenye migogoro

Baraza la Usalama laangazia ukatili wa kingono kwenye migogoro

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekuwa na mjadala kuhusu ukatili wa kingono kwenye migogro hususan kitendo cha watuhumiwa kukwepa mkono wa sheria huku wanawake na watoto wa kike wakikabiliwa na msongo baada ya kufanyiwa vitendo hivyo. Joshua Mmali alifuatilia mjadala huo na hii hapa ni taarifa yake.

(PKG YA JOSHUA MMALI