Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM na serikali ya Italia kuwasaidia kisikolojia waathirika wa vita vya Syria:

IOM na serikali ya Italia kuwasaidia kisikolojia waathirika wa vita vya Syria:

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM, kwa msaada wa wizara ya mambo ya nje ya serikali ya Italia wamezindua mpango wa Euro milioni 1.5 ili kuwasaidia waathirika wa machafuko ya Syria.Msaada huo utakuwa ni wa kisaikolojia na utajumuisha walioko Syria na katika nchi jirani.Jumbe Omari Jumbe anafafanua zaidi

(SAUTI YA JUMBE OMARI JUMBE)