Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makubaliano nchini Mali ni nuru kwa wananchi na ukanda mzima: UM

Makubaliano nchini Mali ni nuru kwa wananchi na ukanda mzima: UM

Huko Burkina  Faso wiki hii kulitiwa saini makubaliano ya amani kati ya serikali ya Mali na kundi la MNLA yanayoweka uwanja wa kuelekea kwenye uchaguzi wa rais na kuanzishwa kwa duru la mazungumzo ya amani baina ya serikali ya mpito na kundi la vugu vugu la kitaifa kwa ajili ya mali, MNLA. Je nini kilijiri? Ungana na Assumpta Massoi katika ripoti hii.