Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNHCR yaangaza wakimbizi wa Syria walioko Jordan

UNHCR yaangaza wakimbizi wa Syria walioko Jordan

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR limeangaza maisha ya wakimbizi wa Syria walioko Jordan kwa kuwajengea nyumba maalum ambazo pamoja na kuongeza ulinzi zinawapatia wakimbizi faragha.

Ungana na Joseph Msami katika makala hii inayofafanua namna wakimbizi wa Syria walivyonufaika na mpango huu