Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mkurugenzi mkuu wa FAO ataka wanachama kuidhinisha bajeti ya shirika hilo

Mkurugenzi mkuu wa FAO ataka wanachama kuidhinisha bajeti ya shirika hilo

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO José Graziano da Silva ametoa wito kwa mkutano chombo hicho kuidhinisha bajeti ya shirika hilo ili kuboresha usaidizi linalotoa kwa nchi wanachama kwa minajili ya kuafikia malengo yao ya usalama wa chakula na mengine ya kilimo. Alice Kariuki anaripoti.

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)