Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Umoja wa wabunge kuchunguza haki za binadamu DRC

Umoja wa wabunge kuchunguza haki za binadamu DRC

Kamati ya umoja wa mabunge duniani, IPU inayohusika na haki za binadamu itafanya ziara huko Jamhuri ya kidemokrasia yaCongo, DRC kuchungua madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanayohusu wabunge 34 wa mmoja wa zamani.

Mbunge huyo wa zamani ni ambaye pia alikuwa kiongozi wa chama cha upinzani ni Pierre Jacques Chilupa ambaye alifungwa mwaka jana kwa kosa la kugushi nyaraka za kupata uraia wa nchi hiyo licha ya kwamba alichaguliwa kuwa mbunge na maisha yake yote ameishi nchini humo. Jemini Pandya ni msemaji wa IPU.

 (SAUTI YA JEMINI PANDYA)