Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sheria mpya kubana uhuru wa vyombo vya habari Burundi

Sheria mpya kubana uhuru wa vyombo vya habari Burundi

Serikali ya Burundi imepitisha sheria mpya za vyombo vya habari, zilizotiwa saini na Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza, ambazo waandishi wa habari , wadau wa kutetea maslahi ya vyombvo vya habari na asasi zisizo za kiserikali wanasema sheria hiyo mpya sio tuu itakuwa adha kwa waandishi bali bila walengwa wa habari watakkosa fursa ya kupata habari muafaka.

ili kufahamu sheria hizo ni zipi na athari zake kwa waandishi habari na jamii Flora Nducha amezungumza na mwandishi wetu kwa Burundi Ramadhan Kibuga

(MAHOJIANO NA RAMADHAN KIBUGA)