Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Usindikaji vyakula umekuwa bora baada ya kupata mafunzo: Wajasiriamali wanawake Tanzania

Usindikaji vyakula umekuwa bora baada ya kupata mafunzo: Wajasiriamali wanawake Tanzania

Usaidizi huo uliohusisha pia mfuko wa mitaji wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) na serikali ya Tanzania umefanyika kupitia mfuko wa umoja wa udhamini wa wanawake wasindikaji wa vyakula Tanzania, TWFPT.

Katika mahojiano haya mwenyekiti wa mfuko huo Emmy Kiula anamweleza Stephanie Raison wa UN-Women Tanzania kile wanachofanya na manufaa waliyopata bila kusahau changamoto.