Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza la Usalama lajadili hali nchini Sudan:

Baraza la Usalama lajadili hali nchini Sudan:

 Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limekutana kujadili hali katika eneo la Darfur nchini Sudan, pamoja na kupitisha kwa kauli moja, azimio kuhusu kutosambaza silaha. Joshua Mmali amekuwa akifuatilia matukio hayo na hapa ni taarifa yake.

(Ripoti ya Joshua Mmali)