Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Profesa kutoka Afrika Kusini kuongoza jopo la wanasayansi dhidi ya Ukimwi

Profesa kutoka Afrika Kusini kuongoza jopo la wanasayansi dhidi ya Ukimwi

Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la mpango wa umoja wa Mataifa linaloratibu masuala ya Ukimwi, UNAIDS Michel Sidibé ametangaza uteuzi wa Profesa Salim S Abdool Karim kutoka Afrika Kusini kuongoza jopo la wanasayansi kuhusu Ukimwi. Ripoti ya George Njogopa inafafanua zaidi.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)