Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utegemezi wa misaada kutatua migogoro unakwamisha jitihada za amani Afrika: Mahiga

Utegemezi wa misaada kutatua migogoro unakwamisha jitihada za amani Afrika: Mahiga

 Baada ya kuhitimisha jukumu lake la miaka mitatu akiongoza ofisi ya kisiasa ya Umoja wa Mataifa nchiniSomalia, UNPOS, Balozi Augustine Mahiga amezungumzia kile ambacho nchi za Afrika zinapaswa kufanya katika utatuzi wa migogoro inayokabili bara hilo.   Balozi Mahiga amesema hayo katika mahojiano maalum na Radio ya Umoja wa Mataifa wakati akizungumzia uzoefu wake na kile anachodhani kinapaswa kufanyika kuharakisha mchakato wa kuleta amani Afrika.

 (SAUTI MAHIGA-1)

 Lakini baada ya ya UNPOS Balozi Mahiga anaelekea wapi?

 (SAUTI MAHIGA-2)