Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Marufuku ya matangazo ya tumbaku itaokoa maisha

Marufuku ya matangazo ya tumbaku itaokoa maisha

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Normal

0

false

false

false

MicrosoftInternetExplorer4

st1\:*{behavior:url(#ieooui) }

/* Style Definitions */

table.MsoNormalTable

{mso-style-name:"Table Normal";

mso-tstyle-rowband-size:0;

mso-tstyle-colband-size:0;

mso-style-noshow:yes;

mso-style-parent:"";

mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt;

mso-para-margin:0in;

mso-para-margin-bottom:.0001pt;

mso-pagination:widow-orphan;

font-size:10.0pt;

font-family:"Times New Roman";

mso-ansi-language:#0400;

mso-fareast-language:#0400;

mso-bidi-language:#0400;}

Mei 31 ni Siku ya Kimataifa ya Kupiga vita Matumizi ya Tumbaku Duniani.

Mapema wiki hii, Shirika la Afya Duniani, WHO, limetoa wito kwa serikali zipige marufuku matangazo ya biashara ya bidhaa za tumbaku ikiwemo sigara, na kupiga marufuku ufadhili wa kampuni za tumbaku kwa shughuli za kijamii na miradi mingine ili kukabiliana na matumizi ya bidhaa hizo na kuokoa maisha ya binadamu.

 Katika ujumbe wake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametaja matumizi ya bidhaa za tumbaku ikiwemo sigara kama tishio kubwa kwa afya ya binadamu. Je, nchi za Afrika zimesimama wapi katika vita dhidi ya matumizi ya bidhaa za tumbaku? George Njogopa anasimulia hali ilivyo nchini Tanzania.