Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM yajiandaa na msimu wa kimbunga huko Haiti

IOM yajiandaa na msimu wa kimbunga huko Haiti

Shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM linasema wakati huu ambapo msimu wa kimbunga unakaribia kuanza huko Haiti, shirika hilo linajiandaa kutoa misaada ya kibinadamu ikiwemo vifaa vya kutakatisha maji na vingine vya kusaidia kuepusha magonjwa yatokanayo na maji yasiyosafina salama. Jumbe Omari Jumbe ni msemaji wa IOM(SAUTI YA JUMBE)