Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makabila asili yapaza sauti mkutanoni New York!

Makabila asili yapaza sauti mkutanoni New York!

Mkutano wa jamii za kiasili yakiwemo makabila mbali mbali ulifanyika mjini New York ambapo dhima ya mkutano huo nii kutoa fursa kwa jamii hizi kutambulika katika nyaja mbali mbali zikiwemo utamaduni, elimu, afya, mazingira na kadhalika.

Ungana na Joseph Msami ambaye amefuatilia kikao hiki cha 12 kinachomalizika mwishoni mwa wiki hii.