Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utayari wa wasomali uliwezesha mchakato wa kisiasa: Balozi Mahiga

Utayari wa wasomali uliwezesha mchakato wa kisiasa: Balozi Mahiga

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia anayemaliza muda wake, Balozi Augustine Mahiga amezungumzia sababu ya mafanikio ya amani inayodhihirika nchini Somalia baada ya miongo miwili ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.Grace Kaneiya anaripoti(PKG YA GRACE KANEIYA)

Balozi Mahiga ametaja sababu hiyo katika mahojiano maalum na Radio ya Umoja wa Mataifa.

(SAUTI YA Balozi Mahiga)

Balozi Mahiga akazungumzia zaidi alivyoweza kukabiliana na changamoto za awali za kutokukubalika miongoni mwa baadhi ya wasomali.

(SAUTI YA Balozi Mahiga)