Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uzazi wa mpango bado changamoto Afrika- UNFPA

Uzazi wa mpango bado changamoto Afrika- UNFPA

Takwimu za Shirika Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA, zinaonyesha kwamba licha ya kampeni ya jumuiya ya kimataifa na mashirika mbalimbali juu ya uzazi wa mpango, bado utekelezaji wake umekuwa mgumu hususani barani Afrika ambako jamii nyingi huzaana bila kuzingatia mpango huo stahiki.

Makala hii iliyoandaliwa na Joseph Msami inaeleza namna uzazi wa mpango ulivyo muhimu katika kukuza familia bora kwa maendeleo ya jamii husika.