Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

MONUSCO na IOM zachukua hatua kudhibiti ukatili wa kingono DRC

MONUSCO na IOM zachukua hatua kudhibiti ukatili wa kingono DRC

Huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo MONUSCO umetoa mafunzo  kwa maafisa polisi wa mahakamani ili kudhibiti vitendo vya  ukatili wa kingono ambapo utekelezaji wa mpango huo utasimamiwa na shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM. Jumbe Omar Jumbe anafafanua kile ambacho wao watafanya.

  (SAUTI YA JUMBE)