Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza Kuu lakutana kutafutia suluhu mzozo wa Syria

Baraza Kuu lakutana kutafutia suluhu mzozo wa Syria

 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linakutana leo kujadili mzozo nchiniSyria, huku ikitarajiwa kuwa Barazahilolitaafikia na kupitisha azimio kuhusu hali hiyo.

Mwanzoni mwa kikao hich, Rais wa Baraza Kuu Vuk Jeremic, amesema ikiwa Umoja wa Mataifa utashindwa kukomesha mzozo huo ambao unageuka kuwa janga la kibinadamu, basi itakuwa ni sawa kuhoji muungano huo wa Umoja wa Mataifa unaelekea wapi?

 (SAUTI ya VUK)