Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maelfu wakabiliwa na ukame visiwani Marshall

Maelfu wakabiliwa na ukame visiwani Marshall

Takribani watu elfu 50 wanakabiliwa na ukame katika visiwa vya Marshal vilivyoko karibu na bahari ya Pasific kutokana na ukosefu wa mvua jambo linalosababisha baadhi ya familia kutumia litre 3 nukta nane za maji kwa siku ambacho ni nusu ya kiwango cha kimataifa cha mahitaji ya maji ya dharura ambayo ni ishara ya afya mbaya kwa jamii.

Jumbe Omari Jumbe ni msemaji wa Shirika la kimataifa la uhamaiaji IOM na hapa anafafanua namna shirika hilo linavyosaidia jamii hiyo

SAUTI YA JUMBE