Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maafisa washauri wa wahalifu wapewa medali Sudani Kusini

Maafisa washauri wa wahalifu wapewa medali Sudani Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudani Kusini UNMISS umetoa medali kwa maafisa washauri 34 ambao wamekuwa wakiwasaidia wahalifu kuishi tena na jamii hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa idara ya magerecza nchini humo na jeshi la polisi.

Ungana na Joaseph Msami katika makala inayoangazia tukio tukio hilo la kusisimua: