Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Balozi Mahiga azungumzia Somalia na majukumu mapya ya Umoja wa Mataifa.

Balozi Mahiga azungumzia Somalia na majukumu mapya ya Umoja wa Mataifa.

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linaangalia yanayotarajiwa kuwa majukumu mapya ya Umoja wa Mataifa nchiniSomaliakufuatia mabadiliko ya kisiasa yaliyotokea na kuwezesha kuwepo kwa serikali. Mabadiliko ya majukumu hayo yanajumuisha pia kubadili dhima ya ofisi yake nchini humo UNPOS. Balozi Augustine Mahiga ambaye ni Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu nchiniSomaliakatika mahojiano nami Assumpta Massoi alinieleza mantiki ya mabadiliko hayo, matarajio ya dhima mpya na mtazamo wake yeye binafsi kuhusuSomaliailipo hivi sasa. Na hapa alianza kwa kueleza UNPOS.